hydro
pref haidro -a kuhusiana na maji, -a maji. hydroelectric adj -a umeme wa nguvu za maji. hydrofoil, ~ plane n boti mpao. hydrology n haidrolojia: sayansi ya maji. hydrometer n haidromita: chombo cha kupimia uzito wa maji na viowevu. hydropathy n utabibu kwa kutumia maji. hydrophobia n 1 kalabi: ugonjwa wa kushindwa kunywa maji kwa sababu ya koo kujikaza; ugonjwa wa kichaa cha mbwa. 2 woga wa maji. hydrophyte n kimeamaji (k.m. mpunga, majimbi). ~phitic adj -a majini. hydrotropism n uelekeomaji. hydroponics n haidroponi: sayansi ya kuotesha mimea kwenye maji. hydrous adj -a majimaji. hydrogen n haidrojeni. ~ gen bomb (also H -bomb) bomu la haidrojeni. hydrocarbon n haidrokaboni. hydrochloric adj. -a haidrokloriki. hydroelectric umeme wa nguvu za maji, -a