hydraulic

adj haidroli: -nayoendeshwa kwa maji/kioevu. hydraulics n pl haidroliki: sayansi ya matumizi ya maji kupata nishati.