hurt

vt,vi 1 umiza; dhuru; uma, wanga. 2 (of feelings) tia uchungu, sononesha. 3 (bad effect) leta madhara. n 1 maumivu; madhara. hurtful adj -enye kuumiza; -a kudhuru; -enye kutia uchungu.