hurry

n 1 haraka. in a ~ haraka haraka. don't ~ usifanye haraka be in a ~ -wa na haraka. 2 mapema, hivi karibuni I won't go there again in a ~ sitaenda tena pale hivi karibuni. vt,vi harakisha, fanya haraka. ~ away enda/ ondoka haraka. ~ up fanya haraka, harakisha. hurried adj -liofanywa kwa haraka; -enye haraka. hurriedly adv.