hurdle

n 1 kiunzi (cha kufanyizia zizila muda n.k.). 2 kiunzi, (kinachorukwa katika mashindano ya mbio na ya farasi) ~ race mbio za kuruka viunzi. 3 (fig) kikwazo, jambo lililo gumu kufanywa. vt,vi 1 ~ off tenga kwa viunzi. 2 ruka viunzi. hurdler n mtengeneza viunzi; mruka viunzi.