n 1 a/the ~ kuwinda; mawindo. 2 msako, kutafuta the ~ for the criminals msako wa wahalifu. 3 (esp in GB) kundi la wawindaji (wa mbweha na paa) wanaotumia mbwa na farasi; mawindoni. ~ balln sherehe rasmi ya wawindaji. huntern mwindaji; farasi wa kuwindia. 4 saa ya mfukoni (yenye kifuniko cha chuma). huntingn kuwinda, uwindaji. (attrib) ~ ing hornn baragumu la kuwinda. ~ing groundn (fig) mawindoni: mahali penye mategemeo ya mtu kupata anachokitafuta. happy ~ ing ground(joc) mbinguni. huntressn (liter) mwanamke mwindaji. vi,vt 1 winda. 2 tafuta, saka. ~ for a lost pencil tafuta kalamu iliyopotea. ~ down saka, tafuta na pata ~ down a criminal saka mhalifu. ~ for/out/up tafuta. ~ out tafuta. 3 fukuza ~ the dog out fukuza mbwa. huntsmann 1 mwindaji. 2 kiongozi wa mbwa wa kuwindia.