hunger

n 1 njaa. be/go on (a) ~ strike goma kula (kwa sababu ya kupinga/kudai kufunguliwa. ~ march n maandamo ya wasio na kazi kutangaza mateso yao.~marcher n. 2 hamu, tamaa, shauku a ~ for love hamu ya mapenzi. vi ~ for tamani/taka sana. hungry adj 1 -enye njaa; -enye kuleta njaa. 2 (of soil, land) -sio na rutuba. 3 (fig) -enye shauku ~ for something -wa na shauku ya kitu fulani. hungrily adv.