humour

, (US humor) n 1 kichekesho, uchekeshaji, ucheshi sense of ~ ucheshi the book has a lot of ~ kitabu kina vichekesho vingi. 2 hali ya mtu he is in a good ~ yu mchangamfu, yu mkunjufu he is not in the ~ for playing with the children hana moyo wa kucheza na watoto. out of ~ kutojisikia mkunjufu, kutofurahi, kusonona. 3 ridhisha, kubalia ~ a patient ridhisha mgonjwa (kwa kutimiza matakwa yake). humourist n mchekeshaji, chale. ~ous adj. ~ously adv.