humble
adj 1 -nyenyekevu, -enye soni, -siyetaka makuu eat ~ pie omba radhi (kupita kiasi), piga magoti; jidhalilisha. 2 (of persons) -a chini, -nyonge, -siokuwa muhimu; (of things) -a kimaskini, duni a ~ occupation kazi duni. vt dunisha, shusha hadhi, dhalilisha. humbly adv.