human

adj 1 -a binadamu, -a watu ~ rights haki za binadamu. 2 -enye ubinadamu, -enye utu. humanly adv. humane adj -ema, -enye huruma, pole. humaneness n. humanism n 1 elimu ya ubinadamu (inayohusu binadamu kwanza na mahitaji yake kuliko misingi ya dini). 2 utu, moyo wa kupenda watu. 3 sanaa (karne 14-16) yenye misingi ya Ugiriki na Urumi. humanist n mwanafunzi/mfuasi wa elimu ya ubinadamu, mpenda utu; mwanafunzi wa sanaa ya Ugiriki/Urumi adj -a ubinadamu. humanitarian adj -a hisani, -a fadhila, -a huruma. n mfadhili, mwanahuruma. humanitarianism n. humanity n 1 binadamu. 2 ubinadamu. 3 huruma, wema, utu. 4 the ~ities sayansi za jamii. humanize vt fanya/kuwa binadamu; staarabisha; fanya -a utu. humankind n wanadamu, walimwengu.