howl

n 1 mlio mkali (agh. wa mbwa mwitu). 2 kilio cha maumivu makali.3 (of amusement) kikwakwa. 4 (of wind) mvumo. vt,vi lia kwa ukelele (k.m. mbwa); (of wind) vuma; (with laughter) cheka kwa sauti kubwa. ~ down zomea, zima ~ down the lecturer zima mhadhiri. howler n kosa la kijinga; kichekesho. howling adj (sl) sana, mno, -a wazi, tupu it was a ~ing injustice ulikuwa uonevu wa wazi kabisa. a ~ing shame n aibu kubwa sana/tupu.