adj 1 -enye joto, -a moto it's ~ today leo kuna joto I like ~ tea napenda chai ya moto. be in/get hot into ~ water -wa matatani, aibika. be/get ~ under the collar kasirika/ pandwa mori. make a place/make it too ~ for somebody(fig) fanyia mtu visa mpaka ahame. 2 -kali this curry is ~ mchuzi huu ni mkali. 3 -a hasira; -a kisirani; -kali. he has a ~ temper ana hasira; mkali. be ~ on the trail of somebody/on somebody's tracks karibia windo (kinachofuatiwa). 4 (in hunting) (harufu) kali, bichi. 5 (of music, esp jazz) motomoto. 6 (sl) (of stolen goods) -sioweza kuuzwa hadharani, bomu. 7 (as adv) sasa. blow ~ and cold(fig) yumbayumba (katika uamuzi), shindwa kuwa na uamuzi. give it to somebody ~ adhibu/ karipia vikali. 8 -enye nyege. 9 (special use with nouns and particles) ~ airn maneno matupu/ ahadi za uongo. hotbedn tuta lenye mbolea au samadi, la kuotesha mboga; (fig) mahali penye maovu (mabaya, fitina) mengi. hotbloodedn -enye harara (ya moyo), -a hamaki. ~ cross bunn keki yenye alama ya msalaba (inayoliwa Ijumaa Kuu). ~ dogn soseji katika mkate. hotfootadv kwa bidii, enda upesi. ~gospellern (colloq) mhubiri mwenye mhemko/bidii sana; hotheadn mkaidi; mkali. ~ headedadj -enye harara, -kali; -kaidi. hothousen kibanda (agh. cha kioo) cha kuoteshea maua na matunda. ~ linen simu ya moja kwa moja kati ya wakuu wa serikali mbalimbali. ~ moneyn mfuko wa fedha unaopelekwa mahali penye kupata riba kubwa. ~ newsn habari motomoto. hotplaten kisahani cha jiko, jiko la kisahani kimoja. ~ potaton (fig) (colloq) jambo gumu au lisilopendeza kushughulikia; suala nyeti. ~ rodn (US sl.) gari lenye; mbio kuzidi magari yote. the ~ seatn kiti cha umeme (cha kunyongea); (fig) hali ya mtu ambaye analazimika kuamua mambo magumu (k.m. wakuu wa serikali). ~ spotn (colloq) sehemu yenye matatizo/fujo za kisiasa. ~ springn chemchemi ya maji moto. ~stuffn (sl) mtu/kitu bora. ~temperedadj -enye hasira. ~water-bottlen mpira wa majimoto. vt,vi~ something up (colloq) pasha moto; (fig) iva; shikwa na harara. hotlyadv kwa harara, kwa hamaki.