host2 n 1 mwenyeji, (mwenye kukaribisha wageni). 2 mwenye hoteli reckon without one's ~ fanya mipango bila mawasiliano na wanaohusika. 3 (bio) kimelea. hostess n mwenyeji wa kike mhudumu wa kike. air ~ mhudumu wa kike katika ndege.