1n mpira wa maji (wa kunyweshea bustani au kuzimia moto). hosepipen bomba la mpira. vt 1 ~ (down) nywesha/mwagilia maji (bustani n.k.). 2 safisha (motokaa n.k.) kwa kutumia bomba la mpira.
hose
2n (collective, as pl) soksi. hosiern mwuza soksi, nguo za ndani. hosieryn bidhaa za mwuza soksi, fulana n.k.