n kitisho, tisho; chukizo. chamber of ~sn makusanyo ya vitu, vielelezo n.k. vya kutisha/kikatili. strike with ~ ogofya; shtusha. ~ filmn filamu ya kutisha. ~ struck/strickenadj -a kutishwa, -a kustushwa. horribleadj 1 -a kuogofya; -a kutisha. 2 (colloq) -baya, -siopendeza. horriblyadv. horridadj 1 -a kutisha. 2 (colloq) -a kuchukiza be horrid to somebody fanyia vibaya, sumbua, chukiza mtu. horridlyadv. horridnessn. horrificadj (colloq) -a kutisha. horrifyvt ogofya, shtusha, tisha.