horizon

n 1 upeo wa macho. 2 (fig) upeo wa fikira, elimu, ujuzi n.k.. horizontal adj -a mlalo, (-a kwenda) sambamba na upeo wa macho. ~ tal bar n mtaimbo wa mlalo. horizontally adv.