hope

n 1 matumaini; tarajio have ~ of something tarajia kupata kitu. hold out some/no/little/not much ~ (of something) -wa/tokuwa na matarajio ya kitu fulani. be past/beyond ~; not have a ~ -wa bila/ondoa matumaini in the ~ of doing something kwa matarajio ya kufanya jambo fulani. live in ~ (s) of something -wa na matarajio ya kitu fulani. raise somebody's ~s -pa mtu moyo/matumaini. 2 tegemeo, tumaini the village farm was the ~ of the villagers shamba la kijiji lilikuwa ndilo tegemeo la wanakijiji. ~ chest n (US) saraka la vifaa vya harusi (kwa msichana anayetaka kuolewa); (GB see bottom drawer). vt,vi tumaini; tarajia; tegemea I ~ -to do something natarajia kufanya jambo fulani. ~ against ~ endelea kutarajia ingawa matumaini hayapo hoping to hear from you natarajia utawasiliana nami. hopeful adj 1 -enye matumaini. 2 -a kutia/leta matumaini. 3 (as n) (young) ~ful n mtoto anayeelekea kufaulu; tumaini. hopefully adv 1 kwa mategemeo/ matarajio. 2 natarajia; itarajiwe. ~ fulness n. hopeless adj 1 -sio na matumaini; -sioleta matumaini. 2 -sioponyeka. hopelessly adv. hopelessness n.