hop
hop
1 n 1 mhopi: mmea mrefu wa kutambaa. 2 (pl) mbegu za mhopi. ~garden/~field n shamba/bustani ya mhopi. ~-pole n nguzo/waya za kusimamisha mhopi. ~picker; hopper n mchuma mhopi, mashine ya kuchuma mhopi. vi chuma mhopi.hop
2 vi,vt 1 (of persons) ruka kwa mguu mmoja, chupa (of other living creatures e.g. frogs) rukaruka. ~ off/it (sl) ondoka, ambaa. ~ping mad adj (colloq) -liokasirika sana, -liofura hasira. 2 vuka dimbwi kwa kuruka. n 1 mruko wa mguu mmoja. on the ~ -a kuchachawa, -a mchachariko . catch somebody on the ~ shughulisha mtu. 2 mruko mfupi, mchupo. ~ skip/step and jump n zoezi la (mchanganyiko wa) kuchupa, kupiga hatua na kuruka; (athletics) miruko mitatu (colloq) densi isiyo rasmi. 3 (flying) kituo katika safari ndefu. ~ scotch n (of children) mchezo wa vipande/ vyumba. hopped-up adj (US sl) -liochajiwa kupita kiasi,-liozidishiwa nguvu. hopper n chano, mdudu arukaye (k.m. tunutu, panzi n.k.); (in Australia) Kangaruu. ~-light/~-casement n dirisha lifunguliwalo kwa juu lenye bawabu chini.