hoot

n 1 mlio wa bundi. 2 mlio wa honi. 3 sauti ya kuzomea. not care a ~/two ~s (sl) -tojali kabisa. vi,vt 1 piga honi; lia kama bundi. 2 zomea students ~ed and jeered at the teacher wanafunzi walimzomea mwalimu. hooter n king'ora, honi. (sl,GB) pua.