n 1 kiopoo. a clothes ~;a crochet ~n kulabu. a fish ~n ndoana/chango. ~ line and sinker (from fishing) (fig) kabisa, zimazima, -ote. a fruit ~n kigoe, upembo. be on the ~ (colloq) -wa/kabiliwa na uamuzi mgumu wa kufanya. be/get off the ~ ondokana na tatizo. ~ nosed adj -enye pua iliyopinda. ~ wormn tegu. 2 (for cutting) nyengo. by ~ or by crook kwa vyovyote vile. 3 (cricket, golf) pigo la kushoto; (boxing) pigo (la) kiko. vt,vi 1 vua; ngoeka, koeka; ~ a quiet husband (fig) koeka mume mpole. 2 tengeneza ndoana/kiopoo. 3 ~ it(sl) toroka. 4 hook-upn (of radio) idhaa mbili au zaidi zenye matangazo ya kufanana; idhaa muungano. hookedadj 1 -enye umbo la kulabu, -enye viopoo. 2 hooked (on) (sl) -lioathiriwa na; -liotawaliwa na. hookern (US sl) malaya.