honey

n 1 asali ya nyuki. (fig) honey-dew n asali ya mimea; utomvu; tumbaku tamu (tumbaku iliyotiwa asali). 2 (colloq) mpenzi. honeyed adj -a kama asali, tamu kama asali. ~-comb n sega; (piece of) pambo lenye umbo la sega. vt toboa matundu matundu.