honest

adj -aminifu, -nyofu; -a kweli. to be quite ~ about it kusema ule ukweli. make an ~ woman of somebody (dated use) oa mwanamke (baada ya kujamiiana). ~ intention n nia njema. earn an ~ penny pata fedha kihalali. honestly adv kwa uaminifu. honesty n uaminifu; ukweli.