homo

2 (pref) -a kufanana, -a jinsi moja. homogenous adj (formed of parts) -a jinsi moja. homogeneity n namna moja, hali moja. homogenize vt fanya kuwa -a jinsi moja; suka maziwa (ili kuchanganya mafuta na mtindi).