adj 1 -takatifu; -a kuhusiana na Mungu/dini. the H~ Bible; H-Writn Biblia Takatifu. the H~ Landn nchi ya Palestina. the H~ Cityn Yerusalemu. H~ Weekn Juma la Mateso. H~ Communionn Komunyo; Ekaristi Takatifu. H~ Fathern Baba Mtakatifu. ~ groundn sehemu takatifu. ~ watern maji ya uzima. a ~ warn jihad, vita vya kidini. 2 -a kumcha Mungu a ~ man mcha Mungu live a ~ life ishi kwa kumcha Mungu. 3 a ~ terrorn(sl) mtoto mtundu. nthe H~ of Holiesn chumba/ mahali patakatifu, takatifu; (fig) mahali popote patakatifu.