hollow

adj 1 tupu; -a wazi. ~ ware n kibia. 2 (of sounds) sauti kama itokeayo sehemu wazi/shimoni. 3 (fig) -enye hila; ongo, nafiki ~ victory ushindi wa kirahisi mno. 4 -a kuingia ndani; -a kubonyea. ~ eyed adj -enye macho ndani. 5 (colloq; as adv) beat somebody ~shinda hasa, kabisa. n shimo; kibonde. vt ~ (out) fukua; komba.