hobby

n 1 jambo alipendalo mtu; jambo la kupitishia muda (kwa kujiburudisha). 2 (arch) farasi mdogo. hobby-horse n farasi wa mbao (wa kuchezea/kwenye bembea), farasi wa fito au matete; (fig) (of conversation etc) mada anayoipenda mtu na anayoirudia rudia.