hive

n 1 (also beehive) mzinga wa nyuki; nyuki walio mzingani. 2 mahali penye watu wengi wanaoshughulika. vt,vi 1 kusanya nyuki katika mzinga. 2 ingia mzingani; ishi pamoja kama nyuki. ~ off (from) (fig) jitenga (na kuwa chombo kinachojitegemea); gawa na fanya huru.