histrionic

adj 1 tamthilia/thieta/ uigizaji. 2 -a unafiki, -a uwongo. histrionics n 1 maigizo (ya kwenye thieta). 2 tabia za kitamthilia au kithieta (hasa zilizotiwa chumvi).