history

n 1 historia. make ~ fanya kitendo/jambo la kihistoria. ancient ~ n historia ya kale; hadithi ya zamani. modern ~ n historia ya sasa (kuanzia 1453). 2 maelezo ya matukio ya zamani. 3 matukio yanayohusishwa na mtu au kitu the inner ~of an affair undani wa jambo. 4 natural ~ n elimu viumbe; maelezo yenye mpango kuhusu hali za maisha. historian n mtaalamu wa historia, mwanahistoria. historic adj -a kihistoria, -enye kukumbukwa katika historia, -enye umuhimu kihistoria. historic times n nyakati ambazo historia yake ipo na imerekodiwa. historical adj 1 -a historia; si -a hadithi tu. historical events n matukio ya kihistoria halisi; -sio ya kufikiria tu. 2 -a kuhusiana na historia. historically adv. historicity n tabia ya historia, uhalisi wa matukio. historiographer n mwandishi wa historia. historiography n uandishi wa historia.