1n nyonga. smite ~ and thigh shinda sana. ~-bathn kipipa ambacho kinamfika mtu kwenye nyonga. hip-bone n (biol) mfupa wa nyonga. ~-pocket n mfuko wa pembeni (mwa suruali n.k.). ~-flaskn chupa ndogo (ya brandi) inayochukuliwa katika mifuko ya nyonga.
hip
2n tunda la waridi mwitu.
hip
3adj (also hep) (sl) kisasa, -nayofuata mambo/ mitindo ya kisasa.