hieroglyph

n 1 hieroglifu: picha inayowakilisha neno; sauti au silabi iliyotumiwa katika maandiko ya Wamisri wa kale n.k. 2 alama ya siri isiyoeleweka. hieroglyphics n maandiko ya hieroglifu adj -a maandiko ya hieroglifu.