hierarchy

n mfumo wa ngazi/ tabaka/msonge za madaraka, utawala msonge; kundi la watu wenye mamlaka; kundi la maaskofu (nchini); uongozi wa kikasisi. hierarchic(al) adj.