hide

hide

1 vt,vi 1 ~ (from) jificha; ficha kitu the stars were hidden by the clouds nyota zilifichwa na mawingu. 2 jificha don't ~ usijifiche. ~ and seek n kibe n (US = blind) maficho ya wapiga picha/wawindaji. ~out/away n maficho. hiding n (used of persons) be in/go into hiding enda mafichoni; jificha. come out of hiding toka mafichoni hiding place maficho.

hide

2 n 1 ngozi ya mnyama (iliyotengenezwa tayari kwa kuuzwa). 2 (colloq) ngozi ya binadamu. save one's ~ jinusurisha (kutokana na adhabu au kipigo). tan somebody's ~ piga mtu. ~-bound adj -enye akili finyu; -enye kufuata/kushikilia sana sheria, mila, desturi n.k. hiding n kipigo give somebody a good hiding piga mtu barabara.