hessian

n kitambaa-katani (nguo nzito ya katani au juti kama gunia). hetero pref anuwai/mbalimbali; kinyume, tafauti. ~dox adj -enye kufuata imani tafauti na wingi wa watu. ~doxy n. ~geneous adj tafauti/tafauti/aina aina/mbalimbali. ~geneity n. ~sexual adj -a kuvutiwa na mtu wa jinsi tafauti.