herb

n mimea ya msimu/viungo;mitishamba medicinal ~s mitishamba. herbaceous adj -a mimea, -a mitishamba, -enye mimea. herbage n majani mateke. herbal adj -a mitishamba. herbalist n mtaalamu wa mitishamba. herbarium n hebaria: mahali pa kuhifadhia mimea iliyokaushwa. herbicide n sumu ya mimea/majani. herbivorous adj -enye kula majani.