herald

n 1 (hist) mpiga mbiu; mtabiri; kijumbe. 2 dalili, ishara clouds are a ~ of rain mawingu ni dalili ya mvua. 3 mhifadhi majina ya nasaba ya jamaa vt tangaza, ashiria, piga mbiu. heraldic adj -a nasaba. heraldry n elimu ya nembo, unasaba na historia ya koo za kale.