n 1 kuku; (ready to lay) tembe; (laying) koo. ~ banen dawa ya usingizi. hen-coopn tundu la kuku. hen-housen banda la kuku agh. la miti. ~-partyn (colloq) tafrija ya wanawake pekee. hen-peckedadj mtu anayetawaliwa na mkewe. hen-roostn 1 kituo cha kuku usiku. 2 ndege jike. guinea-~n kanga jike. pea ~n tausi jike.