hem

hem

1 n pindo. ~ming stitch n mshono mficho. ~ stitching n pindo/rembo. hemming line n pindo hasa la gauni/ sketi. ~ming slip n mshono mficho. vt 1 pinda. 2 ~ about/around/in funga; zunguka, zingira; zuia the street boys were ~med in by the police watoto wazururaji walizingirwa na polisi.

hem

2 interj h'm sauti ya kukohoa (ya kuonyesha wasiwasi au ubishi au kuvuta usikivu). vi 1 kohoa. 2 kohoa (kuvuta usikivu). 3 kokota maneno.