hellene

n Myunani halisi, Mgiriki wa kisasa. Hellenic adj -a Kiyunani; sanaa na utamaduni wao. Helleniasm n 1 utamaduni/ utaifa wa Myunani. 2 mafumbo, nahau (za Kiyunani). Hellenist n 1 mtu anayozungumza Kiyunani. 2 mtaalamu wa Kiyunani.