hell

n 1 (Rel) jahannamu, motoni. 2 mahali/hali ya mateso make your life a ~ fanya maisha yako yawe ya mateso give somebody ~ sumbua mtu. 3 (colloq in exclamation, to express anger, or to intensify a meaning) a ~ of a noise kelele nyingi mno go to ~ potelea mbali what the ~ balaa gani? for the ~ of it bila sababu maalum. ride ~ for leather haraka iwezekanavyo. ~ cat n mtu mkali/mwenye ghadhabu (hasa mwanamke). hellish adj -a kishetani; baya mno. be ~ bent on something (sl) nuia kutenda kitu bila hadhari.