helio

(pref) -a kuhusu jua. heliacal adj (astron) -enye kuhusiana/ kukaribiana na jua. heliograph n heliografu: chombo kinachoashiria kwa kuakisi mionzi ya jua. helioscope n shamsibini: chombo cha kutazamia jua bila ya kuumiza macho. heliotherapy n utabibu kwa kutumia jua. heliotrope n heliotropu: ua linalopenda kuelekea jua, lenye rangi ya zambarau nyeupe kidogo; rangi/harufu ya ua hilo.