height

n 1 urefu (wa kwenda juu), kimo measure your ~ pima kimo chako this table is four feet in ~ meza hii ina kimo cha futi nne. 2 sehemu ya juu; kilele, upeo the fair was at its ~ maonyesho yalikuwa yamepamba moto hasa the ~ of an argument upeo wa majadiliano. heighten vt,vi 1 refuka/refusha (kwa juu). 2 zidi/zidisha (kiwango) the exam results ~ened his ambitions matokeo ya mtihani yalizidisha matarajio yake.