hectic

adj 1 -a wekundu uliokithiri; -ahoma; -a kifua kikuu. 2 (colloq) -enye msisimko na shughuli nyingi; -enye mishughuliko mingi a ~ life maisha yenye msisimko na shughuli nyingi.