heavy

adj 1 -zito that stone is very ~ jiwe lile ni zito sana. ~ heart n moyo mzito. heavy-weight n mwanamasumbwi wa uzito wa juu (kilo 79.3 au zaidi). 2 kubwa (kuliko kawaida), -ingi ~-guns mizinga ~ rain mvua kubwa. ~duty n kazi ngumu sana. find something ~ going ona ugumu (katika kutenda jambo). find somebody (rather)~ going ona mchoshaji, choshwa na mtu. 3 (of persons) zito; (of writing or painting) -siovutia, -a kuchusha; (of parts in a play for the theatre) -zito; (of bodily states) -a kuzubaa. 4 (compounds) heavy-handed adj -enye mkono mzito. heavy-hearted adj -enye huzuni, -enye moyo mzito adv kwa uzito. heavy-laden adj -enye mzigo mzito; (fig) -enye moyo mzito. heavily adv a heavily loaded cart mkokoteni uliopakiwa sana. heaviness n.