hear

vt,vi 1 sikia. 2 ambiwa, arifiwa, sikia (habari) I ~ that he was ill nimearifiwa kuwa yu mgonjwa. ~ about something pata habari juu ya jambo fulani. ~ from somebody pokea barua, habari n.k. toka kwa. ~ of somebody/ something jua. ~ tell of sikia watu wakizungumzia. 3 sikiliza; (of a judge in a law court) sikiliza kesi. ~ somebody out sikiliza mpaka mwisho. not ~ of kataa kutoa ruhusa, kataa kufikiria. 4 H~! H~! Toboa! Sawa! (msemo wa kuonyesha kuafiki, wakati mwingine huonyesha kejeli). hearer n msikilizaji. hearsay n tetesi, uvumi, fununu know from ~say pata habari kutokana na uvumi ~ say evidence is not accepted in law courts uvumi haukubaliwi katika ushahidi mahakamani. hearing n 1 usikivu, uwezo wa kusikia her ~ ing is poor hasikii vizuri hard of ~ ing kiziwi kiasi. 2 umbali wa kusikia/ kusikiwa. within/out of ~ing karibu/mbali kuweza kusikia/ kusikiwa. 3 nafasi ya kusikilizwa (katika mazungumzo). gain a ~ing pata nafasi ya kujitetea. give somebody/get a fair ~ing sikiliza mtu bila upendeleo. 4 (leg) usikilizaji wa kesi mahakamani. hearken vi (arch) sikiliza.