health
n 1 afya, siha dangerous to ~-a kuhatarisha afya. drink the ~ of somebody/somebody's ~ kunywa kwa afya ya ~ centre kituo cha afya ~ food chakula bora World Health Organisation (WHO) Shirika la Afya Duniani. 2 uzima in good ~-enye uzima. healthful adj 1 -enye afya njema/nzuri. 2 zuri a ~ful climate hali ya hewa nzuri. ~y adj -enye afya/siha, (fig) maridhawa ~y bank balance salio maridhawa. 2 -a kuweza kuleta afya (km hali ya hewa/mtindo wa maisha/lishe bora). 3 -a kuonyesha afya bora. 4 -a kawaida. healthily adv. heap n 1 fungu, rundo a big ~ of books rundo kubwa la vitabu. be struck/knocked all of a ~ (colloq) pigwa na bumbuwazi; kanganyikiwa. 2 ~ (of) (colloq) tele, -ingi we have ~s of books tunavyo vitabu vingi. 3 healths (adv colloq) sana she is feeling ~ better ana nafuu sana. vt ~ (up) 1 rundika; limbikiza. 2 ~ something on/upon somebody/something; ~ somebody/something with something jazia; rundikizia, sheheneza (na).