hawk

hawk

1 n 1 mwewe. hawk-eyed adj -enye macho makali (yawezayo kuona upesi na mbali). 2 mwanamabavu: mtu apendaye matumizi ya nguvu za kijeshi katika siasa za nchi za nje.

hawk

2 vt kohoa. ~ up toa makohozi, safisha koo.

hawk

3 vt ~ (about/around) tembeza biashara; (fig) eneza ~ news eneza habari. hawker n mchuuzi, guoguo.