have

vt,vi aux (pres) I have, he/she has, we/you have, pt,pp had) 1 -wa na April has thirty days Aprili ina siku thelathini. 2 pata, patia, chukua; kubali I didn't have much difficulty sikupata shida sana. let him have it (sl) mwache akione. have had it (sl) -wa na wakati ngumu. 3 have something done sababisha/amuru kitu kifanywe. 4 (-wa na) lazima, sharti I have to go lazima niende. 5 have somebody do something taka mtu afanye jambo. 6 have something done to you wahi/pata kufanyiwa jambo he had his pocket picked aliwahi kuibiwa, alichomolewa. 7 (colloq) danganya mind she doesn't have you angalia asikudanganye; shinda; patia you had me there! umenipatia kwelikweli! 8 (with it and a clause) sema, eleza as Marx has it... kama asemavyo Marx... 9 (used with adverbial particles and preps). have something back rudishiwa you'll have it back nitakurudishia. have somebody down karibisha mtu. have somebody/something in -wa na mtu/kitu (chumbani, nyumbani n.k.). have it off/away (with somebody) (sl) jamiiana na, kazana, tombana na. have somebody on (colloq) danganya mtu. have something on (a) vaa (b) -wa na shughuli I have nothing on tomorrow sina shughuli yoyote kesho. have something out toa, ng'oa have a tooth out ng'oa jino. have one's sleep out maliza usingizi. have it out with somebody elewana kwa kuambizana ukweli, toa fundo. have somebody over/round -wa na mgeni. have somebody up pata mgeni (usu passive) (colloq) peleka mtu mahakamani; shitaki he was had up for robbery alishitakiwa kwa wizi n pl (of people and countries) the haves matajiri. the haves and have-nots n matajiri na maskini.