hate

vt chukia, -wa na kinyongo na; (colloq) juta. n chuki, kinyongo. hateful adj -a kuchukiza, -a kinyongo, -a kuchukia. hatred n chuki, kinyongo, kisirani.