1n 1 mfuniko wa mlango. (esp)~ wayn mfuniko wa sitaha; dirisha baina ya vyumba viwili (hasa jiko na chumba cha kulia). under ~n chini ya silaha. 2 sehemu ya chini ya mlango uliogawika.
hatch
2vt,vi angua (yai). don't count haveone's chickens before they're ~ed (prov) usikate mbeleko na mwana hajazaliwa. 2 buni, tunga a plot buni njama, kula njama. hatcheryn mahali pa kuangulia (hasa mayai ya samaki).